WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi ameingia lawamani kwa kudaiwa
kumlinda Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM),
anayedaiwa kumbaka na kumtishia kumuua binti wa miaka 16.
Akizungumza kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi wa simu (sms) na
Tanzania Daima jana, binti anayelalamika kutishiwa maisha na Profesa
Kapuya, amemtuhumu Waziri Nchimbi kushindwa
↧