Katika hali ya kushangaza Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Kitila Mkumbo, amekanusha madai ya kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kupitia barua yake aliyouandikia uongozi wa chuo hicho, huku akisisitiza kuwa alijiuzulu nafasi hiyo tangu Januari 2010.
Hiyo imedhibitishwa na taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo- Utawala na
↧