RAIS KIKWETE ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO KITAIFA, BENDERA KUPEPEA NUSU MLINGOTI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais
wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amemtumia Salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na
kupitia kwake, kwa mkewe Bi. Graca Machel, wanafamilia wote na wananchi
wote wa Afrika ya Kusini kufuatia kifo cha Mzee Nelson
↧