"Sitishiki, Sitamwogopa mtu mpaka naenda kaburini....Gari lolote...
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa ataisimamia sheria namba 30 ya mwaka 1973 ya usalama barabarani iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2001 inayohusu kiwango cha mwisho cha uzito wa magari...
View ArticleIrene Paul aelezea changamoto aliyoipata baada ya kuigiza kama CHANDUDOA...
Muigizaji wa filamu nchini, Irene Paul amesema haikuwa rahisi kuigiza kama changudoa (msichana anayejiuza mwili) kwenye filamu kuhusu masuala ya Ukimwi, Shujaa. Akiongea na mtandao wa Bongo5, Irene...
View ArticleBinti aanikwa uchi na mpenzi wake baada ya kumsaliti
Binti mmoja amejikuta akiambulia aibu ya mwisho wa mwaka baada ya picha zake chafu kuvuja mitandaoni....Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii iliyozinasa picha hizi, binti huyu...
View ArticleIrene Uwoya alimwa matusi na mashabiki mtandaoni ..Lengo lake lilikuwa ni...
Ukifungua page ya Irene Uwoya kwenye Instagram ambayo anatumia jina la @ireneuwoyaonepieceintown utakutana na hii picha inayohusu kifo cha muigizaji Paul Walker . Lakini post ya Irene imechukuliwa...
View ArticleCHADEMA yazidi kubomoka: Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Singida naye ajiuzulu
WILFRED NOEL KITUNDU MWENYEKITI CHADEMA MKOA SINGIDA S.L.P 260 3.12.2013 KATIBU WA CHADEMA MKOA S.L.P 260 SINGIDA YAH: - KUJIUZURU UENYEKITI MKOA SINGIDA Somo hapo lahusika, Ninapenda kukuarifu...
View ArticleMwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Singida ailaani kamati kuu ya chama hicho dhidi...
MSIMAMO WA MWENYEKITI CHADEMA MKOA WA SINGIDA DHIDI YA UAMUZI WA KAMATI KUU YA CHAMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTANGULIZI Ikumbukwe kwamba mimi ndio mwanachama wa kwanza kujiunga na CHADEMA mkoa wa...
View ArticleHali ni Mbaya: Ofisi ya CHADEMA mkoani Arusha yachomwa moto
Ofisi ya CHADEMA mkoani Arusha imechomwa moto na watu wasiojulikana. Picha zilizopachkwa hapo chini zinaonesha sehemu ya tukio hilo huku polisi wakiendelea na uchunguzi wao...
View ArticleBaada ya ofisi za CHADEMA kuchomwa moto.....vijana wa Arusha wamtungia wimbo...
Baada ya ngome kuu ya CHADEMA kupigwa kiberiti leo mchana, vijana wa Arusha wameamua kuingia studio na kurekodi wimbo wa Ushujaa wa Godless Lema.... Baadhi ya mashairi; *Arusha...
View ArticleRais Kikwete amteua Dr. Asha Rose Migiro kuwa mbunge wa heshima
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge. Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam leo,...
View ArticleHofu ya vyeti feki Serikalini yatanda....Watumishi wote sasa kuhakikiwa vyeti...
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, limetoa mwezi mmoja kwa watumishi wake wote kuwasilisha vyeti vyao ili viweze kufanyiwa uhakiki ili kubaini kama kuna vyeti feki. Katibu Mkuu wa Wizara...
View ArticleDr. Slaa akubali kusogeza mbele ziara ya kutembelea majimbo nane ya mkoa wa...
MWANGWI wa uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema wa kumvua madaraka aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wenzake, mbali na kutikisa katika kanda sita kati ya kanda nane muhimu za chama hicho nchini,...
View ArticleTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa kujaza viti vilivyo wazi vya madiwani katika kata 27 zilizoko katika halmashauri 23, utafanyika Februari 9, mwakani. Mkurugenzi wa...
View Article"Tutakilinda chama chetu kwa nguvu zote na hatuko tayari kuwavumilia...
Baraza la Vijana la Chama chama Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), limesema litakilinda chama chao kwa nguvu na kwamba halitamvumilia atakayebainika kufanya vitendo vya kukihujumu. Limesema kuwa...
View ArticleNini kifanyike kuwasaidia hawa wanafunzi wasipige hizi picha?...Karibu katika...
Mwanafunzi mmoja naye amejikuta akionja machungu ya utandawazi baada ya rafiki zake kumsaliti na kuzianika picha zake chafu akiwa hosteli.... Maswali ya kujiuliza: 1.Kwa nini...
View ArticleMuonekano mpya wa msanii Jokate Mwegelo
Huu ni msanii mpya wa mrembo Jokate Mwegelo <!-- adsense -->
View ArticleMahakama ya Rufaa yamwachia huru Kajala Masanja....
Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja. Kajala sasa...
View ArticleTaarifa ya jeshi la polisi kuhusu kuchomwa moto kwa ofisi za...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA: TAARIFA YA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI ZA CHADEMA Ndugu wanahabari, mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00 asubuhi,...
View ArticleFIFA yaipa Tanzania mgawo wa tiketi 260 za Fainali za Kombe la Dunia nchini...
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeipa Tanzania mgawo wa tiketi 260 za Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil. Watanzania wanaohitaji tiketi hizo wanatakiwa kutuma maombi TFF kwa...
View ArticlePicha za Mkutano wa katibu mkuu wa CCM wakati akihitimisha ziara yake jijini...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Mbeya mjini, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana jioni katika Uwanja wa Rwanda Nzovwe, wilaya ya Mbeya mjini, ikiwa ni...
View ArticlePicha za mkutano wa Dr. Slaa Kahama mjini siku ya jana
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akihutubia wakazi wa Kahama Mjini jana. Dk. Slaa akiendelea na mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama...
View Article