Baraza la Vijana la Chama chama Demokrasia na Maendeleo (Bavicha),
limesema litakilinda chama chao kwa nguvu na kwamba halitamvumilia
atakayebainika kufanya vitendo vya kukihujumu.
Limesema kuwa uanachama ndani ya chama chao ni imani na siyo ushabiki,
hivyo hawataruhusu mtu yeyote kuichezea hata kama mtu huyo atakuwa na
umaarufu wa kupindukia.
Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, John
↧