Tume
ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa kujaza
viti vilivyo wazi vya madiwani katika kata 27 zilizoko katika
halmashauri 23, utafanyika Februari 9, mwakani.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Julius Mallaba, alisema jana kuwa viti
hivyo vimekuwa katika kata hizo, kutokana na baadhi ya madiwani kufariki
dunia na wengine kupoteza sifa.
Kata hizo na halmashauri zake
↧
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 27 februari 9 -2014
↧