Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa
wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika
rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia
kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha
haramu iliyotolewa mapema
↧