TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA: TAARIFA YA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI ZA CHADEMA
Ndugu
wanahabari, mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00 asubuhi, polisi
mkoani hapa tulipokea taarifa juu ya kuchomwa moto kwa jengo ambalo lina
ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zilizopo mtaa wa
Ngarenaro, Halmashauri ya jiji la
↧