Ukifungua page ya Irene Uwoya kwenye Instagram ambayo anatumia
jina la @ireneuwoyaonepieceintown utakutana na hii picha inayohusu kifo
cha muigizaji Paul Walker .
Lakini post ya Irene imechukuliwa tofauti
baada ya ku-post picha ya Van Diesel na kuandika maneno mazito.
Labda alikosea ku-post picha kwa bahati mbaya lakini unafahamu
kinachotokea kwenye mitandao ya kijamii kwa watu maarufu
↧