Waziri
wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa ataisimamia sheria namba 30
ya mwaka 1973 ya usalama barabarani iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2001
inayohusu kiwango cha mwisho cha uzito wa magari pasipo kumwogopa mtu
yeyote kwa kuyatoza magari yote yatakayozidisha uzito.
Kadhalika, ametoa wito kwa wakandarasi nchini kujenga barabara zenye
viwango huku akiwataka Wakala wa
↧