Wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wanaongoza kwa
maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) ukilinganisha na wanaume.
Sababu kubwa zinazoelezwa kuchangia hali hiyo ni
mwendelezo wa mila potofu, ndoa za jinsia moja, kurithi wajane, ndoa za
wake wengi, ukeketaji, kuachana wanandoa na umaskini wa kipato.
Akisoma risala Siku ya Ukimwi
↧