MSICHANA Dorika Kanomba (18) amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela au kulipa faini ya Sh 150,000 baada ya kukiri kosa la kukutwa akifanya biashara haramu ya kuuza mwili. Washitakiwa wengine tisa waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive kwa kosa hilo, wamerejeshwa mahabusu baada ya kukana mashitaka yanayowakabili.
Akitoa hukumu jana, Hakimu wa mahakama hiyo, Said
↧