Mshindi wa shindano la EBSS mwaka huu ni Emmannuel Msuya...Tazama...
Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013 kimekamilika leo alfajiri kwenye ukumbi wa Escape 1. Mashindano haya ambayo kidogo yalichelewa kuanza yalipambwa na...
View ArticleUongozi wa bunge wataka Kapuya ashitakiwe....CCM nao waanza kumuumbua
WAKATI Jeshi la Polisi likiendelea kukwepa kumkamata Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya (CCM) anayekabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi na kutishia kumuua, uongozi wa Bunge umeingilia...
View ArticleMarais wa Eac watia saini huko KAMAPALA kuhusu itifaki ya kutumia sarafu moja
L-R ni Marais: Pierre Nkurunzinza (Burundi), Jakaya Mrisho Kikwete (Tanzania), Uhuru Kenyatta (Kenya), Yoweri Museveni (Uganda) na Paul Kagame (Rwanda) muda mfupi baada ya kutia saini itifaki ya Umoja...
View ArticleCHADEMA yapukutika: Mwenyekiti mkoa wa Lindi ajiuzulu na kujitoa...
SASA ni dhahiri kwamba hali si shwari ndani ya Chadema, baada ya viongozi zaidi kuendelea kuachia ngazi kwa kile walichodai kuchoshwa na hali ya mambo katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini....
View ArticleBinti wa kitanzania ( Rachel Jose ) amuanika rafiki yake ( Minza ) akiwa uchi...
Huyu ni Minza aliyeanikwa akiwa Uchi. Mabinti wawili waliotambulika kwa majina ya Rachel Jose na Minza wamejikuta wakitia aibu baada ya kuanza kusambaza picha zao za uchi...
View ArticleViongozi wazidi kujitoa: Katibu wa CHADEMA wilaya ya Chunya naye aachia ngazi...
Katibu wa chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya,Bwa Bryson Mwasimba akionesha kadi yake ya chama hicho na kuirejesha kwa chama cha CCM mara baada ya kuachia ngazi kwenye mkutano wa hadhara uliofanywa na...
View ArticleMatawi 189 ya CHADEMA jijini mwanza yatishia kuandamana endapo Mbowe na Dr....
TAMKO LA UMOJA WA MATAWI YA WANACHADEMA MKOA WA MWANZA DHIDI YA UAMUZI HARAMU WA KAMATI KUU YA CHADEMA. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTANGULIZI Ndugu wanahabari, mbele yenu ni muunganiko wa...
View ArticleHaya ndo makosa 11 ambayo CHADEMA wanamtuhumu Zitto Kabwe na wenzake...Kosa...
MASHITAKA 11 dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, yamebainisha kuwa kosa kubwa la kiongozi huyo kijana, ni nia yake ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman...
View ArticleKhadija Kopa avamiwa na vijana wahuni baada ya kukatiza mtaani akiwa na...
Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa ameongozana na ‘mwaume aliyekuwa amevaa nguo za...
View ArticleKatibu wa chama cha madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA
MAKAMU wa Rais wa Chama cha Madakatri Tanzania (MAT), Dk Rodrick Kabangila, amejiuzulu nafasi hiyo na kuelekeza nguvu kwenye uteuzi mpya wa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Ziwa Magharibi wa Chama cha...
View ArticleChuo Kikuu cha Dar es Salaam kimemvua madaraka ya uongozi Dr. Kitila Mkumbo...
\Taarifa zinasema kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua kwa muda Mhadhiwa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo madaraka ya kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo...
View ArticleLulu Michael awahamasisha vijana kupima UKIMWI
Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu amesema vijana wanatakiwa wawe mstari wa mbele katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Akizungumza na mwandishi wetu jana katika usiku...
View ArticleZAWADI: Jipatie zawadi ya sh. laki tatu ( 300,000) kwa kushiriki shindano la...
Mpendwa msomaji; Tunapenda kukuarifu kuwa kuna zawadi ya sh. 300,000 itakayogawanywa kwa washindi watatu Shindano hilo limeanza leo katika forum yetu ya Fikra Huru na litamaliza baada...
View ArticlePicha za uchi zaivunja ndoa ya msanii
Ndoa ya msanii maarufu wa kinigeria ajulikanaye kwa jina la Uche Iwuji imesambaratika rasmi kufuatia picha zake za uchi kuvuja mitandaoni.... Mrembo huyo ambaye mungu alimjalia...
View ArticleHali ni Mbaya Kigoma: Viongozi wa CHADEMA mkoani humo wazuia ziara ya Dr....
TAMKO LA KIKAO CHA MKOA – CHADEMA, PAMOJA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MAJIMBO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kikao kilichofanyika ofisi ya Mkoa Ujiji kilibeba AGENDA ya Kujadili na Kuboresha ujio wa ziara...
View ArticleLowassa aongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto...
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza wakati alipokuwa akiongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi,...
View ArticleRais Kikwete amteua Engineer F. Mramba kuwa mkurugenzi mtendaji wa shirika la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Engineer Felchesmi Mramba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Taarifa iliyotolewa Ikulu,...
View ArticleMahakama yaombwa kukataa ombi la Sheikh Ponda la kuifuta kesi yake
Maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ya kuomba ufutiwa shtaka la kukiuka uamuzi wa mahakama, yamebaki njiapanda baada ya Jamhuri kuyawekea pingamizi la...
View ArticleBinti afungwa jela mwezi mmoja baada ya kukiri kufanya biashara haramu ya ngono
MSICHANA Dorika Kanomba (18) amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela au kulipa faini ya Sh 150,000 baada ya kukiri kosa la kukutwa akifanya biashara haramu ya kuuza mwili. Washitakiwa wengine tisa...
View ArticleWanawake waongoza kwa virusi vya UKIMWI huko Tarime
Wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wanaongoza kwa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) ukilinganisha na wanaume. Sababu kubwa zinazoelezwa kuchangia hali hiyo ni mwendelezo wa mila...
View Article