SASA
ni dhahiri kwamba hali si shwari ndani ya Chadema, baada ya viongozi
zaidi kuendelea kuachia ngazi kwa kile walichodai kuchoshwa na hali ya
mambo katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Baada
ya Makamu Mwenyekiti wa Taifa, Said Arfi kujiuzulu wadhifa wake
mwishoni mwa wiki iliyopita, jana ilikuwa zamu ya Mwenyekiti wa Chadema
mkoani Lindi, Ally Chitanda aliyetangaza
↧