Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza wakati alipokuwa akiongoza
harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika
katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara
jana. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo.
Askofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung'u akisalimu waumini.
<!-- adsense -->
↧