TAMKO LA KIKAO CHA MKOA – CHADEMA, PAMOJA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MAJIMBO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kikao
kilichofanyika ofisi ya Mkoa Ujiji kilibeba AGENDA ya Kujadili na
Kuboresha ujio wa ziara ya Katibu Mkuu (T) Dr. P. Slaa Mkoani Kigoma
5/12/2013
- Ambapo atatembelea majimbo yote 8 ya mkoa Kigoma kwa
mikutano si chini ya miwili kwa kila jimbo na baadae mkutano wa mwisho,
↧