Mpendwa msomaji;
Tunapenda kukuarifu kuwa kuna zawadi ya sh. 300,000 itakayogawanywa kwa washindi watatu
Shindano hilo limeanza leo katika forum yetu ya Fikra Huru na litamaliza baada ya siku 30 kutoka leo....
Jinsi ya kushiriki:
Jiunge na Forum yetu na kisha anza kupost habari au maada yoyote ya maana itakayojadiliwa na wadau wengine....
↧