Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu amesema vijana
wanatakiwa wawe mstari wa mbele katika kujikinga na maambukizi ya virusi
vya Ukimwi.
Akizungumza na mwandishi wetu jana katika usiku wa Red Ribbon Fashion Galla
iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam, Lulu alisema siku ya
Ukimwi duniani inatukumbusha kuangalia tumetoka wapi na tunakwenda wapi
na
↧