\Taarifa zinasema kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua
kwa muda Mhadhiwa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila
Mkumbo madaraka ya kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Kishiriki
cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE).
Hatua hiyo inatajwa
kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya
habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa
↧