MAKAMU wa Rais wa Chama cha Madakatri Tanzania (MAT), Dk Rodrick Kabangila, amejiuzulu nafasi hiyo na kuelekeza nguvu kwenye uteuzi mpya wa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Ziwa Magharibi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema).
Akizungumza jana Dar es Salaam, Kabangila alisema amefanya uamuzi huo bila kushurutishwa na anaamini kwa kufanya hivyo ataondoa mgongano wa kimaslahi kati ya
↧