Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa
amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza
mitaani akiwa ameongozana na ‘mwaume aliyekuwa amevaa nguo za kike’.
Tukio hilo lilijiri maeneo ya Kariakoo, Dar wiki iliyopita ambapo
vijana hao walianza kwa kuzomea wakitaka kumshika mwanaume huyo
waliyedai alikuwa amevaa nguo za jinsia ya kike
↧
Khadija Kopa avamiwa na vijana wahuni baada ya kukatiza mtaani akiwa na mwanaume waliyedai ni Shoga
↧