Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo
Star Search 2013 kimekamilika leo alfajiri kwenye ukumbi wa Escape 1.
Mashindano
haya ambayo kidogo yalichelewa kuanza yalipambwa na wasanii mbalimbali
wakiwemo Barnaba,Makomando,YoungKiller,waterchilambo,Shaa,Kimbunga na
Snura.
Mashindano hayo yalikua na jumla ya washiriki watano
ambao ni Amina Chibaba,
↧