Zitto Kabwe asababisha vijana wa CHADEMA wapigane na kuchana bendea za chama...
Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kuwavua nafasi za uongozi vigogo wake watatu akiwamo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, umepokelewa vibaya na baadhi ya wafuasi wao ambao...
View ArticleMwanafunzi wa chuo kikuu apiga picha za utupu
Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu jijini amejiukuta akionja machungu ya ulimbukeni wa mapenzi baada ya picha zake za utupu kuvuja na kusambaa mitandaoni.... Katika picha hizo,...
View ArticleMuonekano mpya wa msanii Lulu Michael
Huu ni muonekano mpya wa kibinti kibichi maarufu kwa jina la Elizabeth Michael <!-- adsense -->
View ArticleWema Sepetu ajuta kutumia mikorogo, aanza kuitamani ngozi yake ya awali
Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu anajuta kutumia mkorogo na hatimaye kupoteza urembo wake wa asili aliokuwa nao mwanzo kabla ya kuanza kujichubua. Chanzo kimoja makini...
View ArticleWolper afunguka: Ali Kiba alinifundisha mapenzi, nilimpenda zaidi Jux,...
Muigizaji wa filamu nchini, Jacky Wolper amesema pamoja na kuwa na uhusiano na mastaa wenzie akiwemo Diamond Platnumz, ni Ali Kiba ndiye aliyemtambulisha kwenye ulimwengu mtamu wa mapenzi. Akiongea na...
View ArticleSamson Mwigamba atishia kuuanika waraka haramu wa MBOWE wenye lengo la...
TAARIFA YA SAMSON MWIGAMBA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU WARAKA WA MKAKATI WA MABADILIKO 2013 Jumatano, 27 Novemba 2013 Jana katika taarifa kwa waandishi wa habari, Mhe. Tundu Lissu na Mhe. John...
View ArticleWanawake tutakuwa watumwa wa mapenzi mpaka lini??...Mwangalie huyu dada wa...
Ulimbukeni wa mapenzi umeendelea kuwaangamiza akina dada wenye kupenda miteremko.... Wengi kati yao wamejikuta wakiishia kuwa watumwa wa penzi kwa kukubali ama kupigwa picha za...
View ArticleMshindi wa EBSS kutotumia zawadi kwa mapenzi yake, atatakiwa kuwekeza kwenye...
Waandaji wa shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search, wamesema mshindi wa mwaka huu ambaye ataibuka na kitita cha shilingi milioni 50, atasimamiwa na uongozi wa shindano hilo ili kuhakikisha...
View ArticleRay na Chuchu Hans wajianika live, penzi lao siyo siri tena....Johari asalimu...
AMA kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Hatimaye uliokuwa uhusiano wa chini kwa chini wa nyota wawili wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans, siyo siri tena baada ya wahusika...
View ArticleKapuya hakamatiki....atua jijini Dar kwa mbwembwe, polisi wamgwaya.
HATIMA ya Mbunge wa Urambo Magharibi Juma Kapuya (CCM), anayetuhumiwa kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka, amerejea nchini jana akitokea nchini Sweden, huku Jeshi la Polisi likikwama kumtia...
View ArticleProfesa Baregu aitahadharisha CHADEMA kuhusu kumtimua Zitto Kabwe... asema ni...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua...
View ArticleJose Chameleone kutumbuiza jijini Mwanza December 24 katika mkesha wa christmas
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Dr. Jose Chameleone akisaini mkataba wa wa kupiga show jijini Mwanza itakayofanyika tarehe 24/12/2013 katika mkesha wa kuikaribisha sikukuu ya Christmas kuanzia saa 12...
View ArticlePicha za Rais Kikwete wakati wa mapokezi ya kombe la dunia lilipotua jijini...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo wa CM Kirumba jijini Mwanza leo jioni. <!-- adsense -->
View ArticleKatibu mkuu wa CHADEMA na wanachama 92 wa tawi la UDOM warudisha kadi za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo,CHADEMA leo kimepata pigo jipya baada ya kupoteza wanachama wake 92 wakiongozwa na katibu wao ndugu Simon Mpandalume... Mdau wetu toka Dodoma...
View ArticleWananchi wa jiji la Arusha ambao ni wafuasi wa CHADEMA waandamana na mabango...
Wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani).. Amani Salenga akiwa na...
View ArticleJK amuweka kitanzini Profesa Kapuya
RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule. Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa...
View ArticleRais Kikwete awasili jijini Kampala kuhudhuria mkutano wa EAC....Maada kuu...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu...
View Article"Diamond si msanii wa muziki bali ni msanii wa ngono anayefanya biashara ya...
MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la Baby Madaha amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond...
View Article"Wastara atafanyishwa sana mapenzi kinyume na maumbile mwaka...
Mjane wa msanii wa filam nchini(Sajuki) Wastara Sajuki, amefunguka tena kwamba hana mpango wa kuingia katika mahusiano ya mapenzi kwa sasa. Wastara ametoa kauli hiyo kufuatia uvumi uliosambaa kwamba...
View ArticleCHADEMA wamemvua uongozi yule mwenyekiti aliyeongoza maandamano ya mabango...
KUKOMA KUWA KIONGOZI KWA MWENYEKITI WA WILAYA YA MONDULI MCHUNGAJI AMANI SILANGA MOLLEL Kwa niaba ya baraza la uongozi la mkoa wa Arusha, napenda kuujulisha umma wote kwa ujumla kuwa mwenyekiti wa...
View Article