Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa
vyombo vya ulinzi na Usalama wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa
wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.
*****************
Wakuu
wa nchi zinazounda jumuiya ya Africa Mashariki wanakutana leo tarehe 30 Novemba huko
Kampala, Uganda.
Wakuu hao ni pamoja na
↧