RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha
vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au
kumuoa mwanafunzi wa shule.
Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa wizara tofauti katika
awamu mbalimbali za uongozi, Profesa Juma Kapuya, akiandamwa na tuhuma
za kumbaka na kutishia kumuua binti, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16.
Ingawa Rais
↧