Wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani
Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)..
Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na
waandishi wa habari na kudai kuwa Mbunge wa Arusha, Godbless Lema ndo chanzo
cha vurugu ndani ya CHADEMA kwa kuanzisha kikundi cha vijana
kinachohatarisha
↧