Hii ni spesho kwa wapenda mauno tu....Ni video ya Snura AKIVURUGWA hadi huruma
August 2013 Snura aliacha single yake ya ‘nimevurugwa’ kwenye radio za bongo na sasa ameishusha video hiyo ya kuvurugwa kwake… itazame hapa chini
View ArticleAlbum ya picha 10 za Binti wa kichaga akinadi Ch*pi zake za mitumba huku...
Huwezi amini, Huyu ni mtanzania mwenzetu, Tofauti yake na dada zetu wa bongo ni kwamba yeye anaishi nje ya nje... Hii ndo tofauti pekee ninayoiona mimi. Sijataka kuzunguzia mambo ya...
View ArticleDr. Kitila Mkumbo azikataa salamu za pole toka kwa Mwigulu Nchema kwa madai...
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Kitila Mkumbo, amemshambulia kwa maneno na kumrushia vijembe Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba, kuwa...
View ArticleCHADEMA yawakaanga tena Zitto Kabwe na Dr Kitila......Haya ndo mambo...
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu akionyesha waraka aliodai kuwa ni orijino badala ya ule uliosambazwa kwenye mitandao na kwenye vyombo vya habari aliodai kuwa ni feki, kushoto ni Mbunge wa...
View ArticleMtoto avunjwa kidole na mwalimu wake baada ya kuingia darasani na nywele...
Wiki ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na watoto ikiwa imeanza kuadhimishwa duniani Novemba 25 mwaka huu bado vitendo hivyo vimezidi kushamiri Mkoani Mbeya ambapo mwanafunzi wa darasa la nne...
View ArticleSerikali yatoa onyo kwa wanaume wanaowapiga picha za uchi wapenzi wao, Bofya...
Serikali yatoa onyo kwa wanaume wanaowapiga picha za uchi wapenzi wao, Bofya hapa umsikie Serikali imesema haitavumilia mtu au kundi la watu wa aina yoyote ambao watabainika kuendeleza vitendo vya...
View ArticleVIDEO: Msikilize Tundu Lissu akimsomea makosa 11 Zitto Kabwe ya kupanga...
Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimewaandikia barua za kuwavua rasmi nyadhifa za uongozi aliyekuwa naibu katibu mkuu Mh. Zitto Kabwe na wenzie sambamba na kupewa siku kumi na nne za...
View ArticleMke wa mtu apiga picha chafu za Utupu jijini Mwanza baada ya kuzidisha pombe.
Mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu na mkazi wa jiji la Mwanza amejikuta ndani ya aibu nzito baada ya kulewa pombe na kisha kujipiga za utupu...Habari zinaarifu kuwa mwanamke...
View ArticleMwigulu Nchemba amchambua Dr. Kitila Mkumbo....Anadai kuwa ni mwanasiasa...
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba, amemchambua mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema kuwa ni mchanga kwenye siasa hivyo hamuogopi. Hatua hiyo...
View ArticleNaibu Waziri wa Nishati atakiwa kuwaomba RADHI watanzania baada ya kuwaambia...
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, kuwaomba radhi Watanzania kutokana na kutoa kauli ya kukatisha tamaa. Simbachawene, juzi...
View ArticleCHADEMA bado hali ni tete...Zitto Kabwe amburuza polisi katibu wa chama hicho...
WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimwandikia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe barua ya kumtaka ajieleze dhidi ya tuhuma zinazomkabili, yeye ameamua kukimbilia polisi...
View ArticleSerikali yatangaza nafasi za kazi 2,748
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 2,748 kwa ajili ya waajiri mbalimbali...
View ArticlePolisi yapiga marufuku kuuza visu, sime, mapanga barabarani ili kupunguza...
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imepiga marufuku biashara ya kutembeza visu, sime na mapanga barabarani na kusema yeyote atakayekiuka agizo hilo atakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria....
View ArticleZAWADI: Jipatie zawadi ya sh. laki tatu ( 300,000) kwa kushiriki shindano la...
Mpendwa msomaji; Tunapenda kukuarifu kuwa kuna zawadi ya sh. 300,000 itakayogawanywa kwa washindi watatu Shindano hilo limeanza leo katika forum yetu ya Fikra Huru na litamaliza baada...
View ArticleAibu: Mtoto wa King Kikii apiga picha za Uchi, mumewe azimia baada ya...
Jesca Kikumbi ambaye ni binti wa mwanamziki nguli nchini,King Kikii amejikuta kwenye fedheha kubwa kufuatia picha zake za uchi kufumwa na mumewe aliyetambuliwa kwa jina moja la...
View ArticleUanachama wa Zitto Kabwe ni Moto CHADEMA.....Steven Wasira adai kuwa dhambi...
UANACHAMA wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe umetajwa kuwa ‘kaa la moto’ kwa uongozi wa chama hicho hata kabla ya kiongozi huyo kujibu mashitaka 11 yanayomkabili ili kunusuru...
View ArticleKitale: nimejifunza mengi kwenye kifo cha Sharo Milionea, nimeacha ujumbe kwa...
Muigizaji na mwimbaji nchini Kitale yuko Tanga alipoenda kuhudhuria Dua ya kumuombea marehemu Sharo Milionea ikiwa ni mwaka mmoja tangu afariki dunia kwa ajali mbaya ya gari. Kitale ambaye ndiye...
View ArticleMadame Rita ajibu maswali tisa muhimu kuhusu EBSS 2013 (Audio)....
Shindano la EBSS 2013 linaelekea ukingoni ambapo November 30, atatangazwa mshindi wa shindano hilo pale Escape 1, Dar es Salaam. Washiriki watano waliobaki katika shindano hilo ni Emmanuel Msuya,...
View Article"Ray na Johari wanalaana yangu na hakuna jinsi wataikwepa"...Norah
BAADA ya hivi karibuni staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ kueleza mazito kuhusu Ray, Johari na Chuchu Hans, msanii mwenzake, Nuru Nassoro ‘Nora’ naye amefunguka kuwa laana ya walichomfanyia...
View ArticleWalimu watwangana ngumi ofisini kwa kutuhumiana kula pesa za kisima cha shule
Afisa Elimu msingi wilaya ya Sengerema Bw,Juma Mwajombe alipokuwa akimvua madaraka Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Luhama kwa kosa la kutotimiza majukumu yake. **************** AFISA Elimu wa Shule za...
View Article