WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimwandikia
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe barua ya kumtaka ajieleze dhidi
ya tuhuma zinazomkabili, yeye ameamua kukimbilia polisi akimshitaki
mmoja wa viongozi wenzake.
Habari za kuaminika zimedai kuwa Zitto ambaye hivi karibuni alivuliwa
cheo chake cha unaibu katibu mkuu wa CHADEMA, inadaiwa amefungua
mashitaka polisi
↧