KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Naibu Waziri
wa Nishati na Madini, George Simbachawene, kuwaomba radhi Watanzania
kutokana na kutoa kauli ya kukatisha tamaa.
Simbachawene, juzi alitoa kauli ya serikali ya kupandisha bei ya
umeme kama Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), lilivyoomba hivi
karibuni kutaka kuongeza gharama za nishati hiyo kwa asilimia 68
↧