NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba,
amemchambua mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
na kusema kuwa ni mchanga kwenye siasa hivyo hamuogopi.
Hatua hiyo ya Mwigulu imekuja baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita,
Dk. Kitila kumshangaa mbunge huyo wa Iramba Magharibi, kuwa amejifanya
kumwonea huruma katika kipindi hiki ambacho
↧