Mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu na mkazi wa jiji la Mwanza amejikuta ndani ya aibu nzito baada ya kulewa pombe na kisha kujipiga za utupu...Habari zinaarifu kuwa mwanamke huyo alitinga ndani ya gesti moja yenye kaunta ya baa mida ya mchana na kuanza kupata vinywaji ( bia ) Muda mfupi baadae, mzee mmoja alijumuika na mama huyo na kuendelea
↧