Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimewaandikia barua za
kuwavua rasmi nyadhifa za uongozi aliyekuwa naibu katibu mkuu Mh. Zitto
Kabwe na wenzie sambamba na kupewa siku kumi na nne za kujieleza kwa
nini wasivuliwe uanachama kufuatia waraka wa siri walioundika na
kukamatwa hivi karibuni.
Mkurugenzi wa habari na uenezi Chadema Mh. John
Mnyika amesema barua hizo zilizoainisha
↧