Serikali yatoa onyo kwa wanaume wanaowapiga picha za uchi wapenzi wao, Bofya hapa umsikie
Serikali imesema haitavumilia mtu au kundi la watu wa aina yoyote
ambao watabainika kuendeleza vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa
kijinsia na kutaka jamii kutumia madawati ya jinsia katika vituo vya
polisi kuripoti matukio yote ya aina hiyo ili yadhibitiwe kabla ya
kuleta madhara
↧