Shindano la EBSS 2013 linaelekea ukingoni ambapo November 30, atatangazwa mshindi wa shindano hilo pale Escape 1, Dar es Salaam.
Washiriki watano waliobaki katika shindano hilo ni Emmanuel Msuya,
Elizabeth Mwakijambile, Amina Chibaba, Melisa John na Maina Thadei.
Times Fm imefanya mahojiano na Chief Judge wa shindano
hilo, Rita Paulsen aka Madam Rita, na ameweza kujibu
↧