BAADA ya hivi karibuni staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’
kueleza mazito kuhusu Ray, Johari na Chuchu Hans, msanii mwenzake, Nuru
Nassoro ‘Nora’ naye amefunguka kuwa laana ya walichomfanyia miaka ya
nyuma itawatesa Ray na Johari mpaka kifo chao.
Akizungumza na GPL, Nora alisema Ray na
Johari walimfanyia ‘mambo mabaya’ yaliyosababisha kupotea kabisa kwenye
sanaa ya filamu hadi
↧