Afisa Elimu msingi wilaya ya
Sengerema Bw,Juma Mwajombe alipokuwa akimvua madaraka Mwalimu Mkuu Shule
ya Msingi Luhama kwa kosa la kutotimiza majukumu yake.
****************
AFISA
Elimu wa Shule za Msingi Sengerema Mkoani Mwanza, Bw Juma Mwajombe
amemvua madaraka Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Luhama iliyoko kata ya
Katwe kwa kushidwa kutekeleza majukumu yake.
Amesema
kuwa
↧