Uamuzi
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kuwavua nafasi za
uongozi vigogo wake watatu akiwamo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto
Kabwe, umepokelewa vibaya na baadhi ya wafuasi wao ambao wameamua
kupigana ngumi na kuchana bendera za chama hicho.
Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, alivuliwa nyadhifa zake
sambamba na aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu, Dk. Mkumbo
↧