Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Dk. Kitila Mkumbo, amemshambulia kwa maneno na kumrushia
vijembe Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba, kuwa kauli ya
kumpa pole baada ya kusikia amevuliwa uongozi ni kiherehere.
Dk. Kitila alitoa kauli hiyo juzi mbele ya waandishi wa habari jijini
Dar es Saalam, baada ya kutoa tamko lake
↧