Huwezi amini, Huyu ni mtanzania mwenzetu, Tofauti yake na dada zetu wa bongo ni kwamba yeye anaishi nje ya nje...
Hii ndo tofauti pekee ninayoiona mimi. Sijataka kuzunguzia mambo ya urembo, huenda ikaleta mjadala mkubwa.....
Mambo anayoyafanya huyu dada yetu yanatia kichefuchefu....Kama ni kujiuza, nadhani huyu kazidi. Ni bora kujipanga barabarani usiku
↧