Jesca Kikumbi ambaye ni binti wa mwanamziki nguli nchini,King Kikii amejikuta kwenye fedheha kubwa kufuatia picha zake za uchi kufumwa na mumewe aliyetambuliwa kwa jina moja la Akoro...Jesca na mwanaume huyo walifunga ndoa ya kilokole agosti 1 mwaka 2010 jijini Dar lakini waliweza kuifurahia ndoa yao kwa muda mfupi tu kwani tangu siku hiyo ndoa
↧