Lulu Michael agoma kumvulia nguo Diamond licha ya kuahidiwa kuhongwa gari la...
Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ambaye ni star mkubwa wa filamu nchini Tanzania anadaiwa kukataa kumvulia nguo Diamond Platinumz anayehaha kutaka kulifaidi penzi lake kiasi cha...
View ArticleRidhiwani Kikwete alaani siasa za Chuki n Ukanda zilizowatoa madarakani Zitto...
Baadhi ya watu maarufu nchini akiwemo mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwan wamezipokea taarifa za kuvuliwa wadhifa wa unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa Zitto Kabwe kwa mitazamo tofauti. Zitto alivuliwa...
View ArticleMwanafunzi auawa na mpenzi wake wakati akisubiri matokeo ya kidato cha nne...
Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne mwaka huu, Sharifa Abdallah (18) ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mbavuni chumbani kwa mvulana aliyedai kuwa mpenzi wake maeneo ya Kimara Golani, Dar es...
View ArticleMaombi ya TANESCO kupandisha bei ya umeme kutoka sh 198 mpaka 332 kwa uniti...
Maombi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya kupandisha bei ya umeme, yamepokewa kwa hisia tofauti za kuungwa mkono na pia kupingwa. Waungaji mkono maombi hayo ni pamoja na Mbunge wa Nkasi...
View ArticleMwasisi wa CHADEMA ndugu Edwin Mtei adai kuwa chama chake kitaendelea...
Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei amesema kuwa chama hicho kitaendelea kuwafukuza wote wanaokihujumu huku akieleza kwamba, anaunga mkono kuvuliwa uongozi kwa Zitto...
View ArticleRais Kikwete awataka watanzania waitetee nchini yao badala ya kushinda kwenye...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema wajibu mkuu wa Watanzania wanaoishi nje ya nchi ni kuisemea vizuri, kuihangaikia na...
View Article"Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe kumefunika maovu mengi yaliyokuwa yamepangwa...
Siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Zitto Kabwe, mama yake mzazi, Shida Salum ametoa ya moyoni akieleza kuwa kilichomkuta mwanaye...
View ArticleProfesa Juma Kapuya atoweka nchini, Polisi waahidi kumsaka popote alipo.
SIKU moja baada ya binti anayedaiwa kubakwa na kutishiwa kuuawa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), kufungua jalada polisi dhidi yake, inadaiwa mbunge huyo ametoweka nchini......
View ArticleBaadhi ya mambo yanayoendelea ndani ya kikao cha Zitto Kabwe na waandishi wa...
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Dk Kitilia Mkumbo amekiri kwamba alishirikiana na Samson Mwigamba katika kuandaa waraka wa mabadiliko katika Chama hicho, lakini siri hiyo ivuja baada ya...
View ArticleSekretarieti kuu ya CCM yawasili jijini Mbeya ikiwa na kauli mbiu ya "UMOJA...
Sekretarieti kuu ya CCM,ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (pichani kati),Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt Asharose Migiro (kulia) pamoja na Katibu wa NEC,Itikadi na...
View ArticleTaarifa ya Dk. Kitila Mkumbo kwa Umma kuhusu Kuvuliwa nafasi za mamlaka ndani...
Taarifa ya Dk. Kitila Mkumbo kwa Umma kuhusu Kuvuliwa nafasi za mamlaka ndani ya CHADEMA 1. Katika kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika tarehe 20-22 Novemba 2013, pamoja na mambo mengine,...
View ArticleTAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA...
1. Utangulizi Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya...
View ArticleMalawi yaichokoza tena Tanzania ....Rais wao ametangaza kuwa mkoa wa Ruvuma...
RAIS wa Malawi, Joyce Banda ametajwa kuendeleza chokochoko baina ya nchi yake na Tanzania, huku sasa akidaiwa kutumia redio na runinga za nchini mwake kutangaza kuwa mkoa wa Ruvuma, viongozi na...
View ArticleAibu: Miss Tanzania arekodi mkanda wa ngono na lili wyne wa bongo, Video...
Tumenasa tukio la kustajabisha la msichana mmoja ambae ni mrembo namba moja wa Mkoa mmoja jina linahidhiwa akiwa amecheza DVD ya ngono na mwanamuziki chipukizi aliyefahamika kwa jina la Shebo.Tunaomba...
View ArticleWatoto watekwa , walawitiwa na kuteswa kinyama ndani ya handaki lilipo katika...
Zaidi ya watoto 60 wanadaiwa kutekwa na kufichwa katika handaki lililopo kwenye msitu wa Mabwepande, Wilaya ya Kinondoni ,Dar es Salaam, ambalo ndani yake kuna jengo kubwa lenye vyumba. Utekaji huo...
View ArticleSerikali yabariki TANESCO kupandisha bei za umeme....Naibu waziri adai kuwa...
Naibu Waziri wa umeme, Mh George Simbachawene, amesema kwamba serikali imekubali TANESCO waongeze gharama za umeme kwa 68% kama walivyokuwa wameomba. Simbachawene ameitoa kauli hiyo wakati akiongea...
View ArticleMwili wa mwanamamke wakutwa kichakani ukiwa umekatwa kichwa na kufungwa kamba.
Wanakijiji wa kijiji cha Nyamira wameamka na kukuta mwili wa mwanamke ukiwa umekatwa kichwa na kutelekezwa pamoja na kufungwa mikono kwa kamba... Mwili huo ambao unaonyesha kuwa ni wa mwanamke...
View ArticleWabongo waendelea kujipiga za utupu bila Aibu
Dada zetu kama kawaida yao hawakomi kujianika wakiwa watupu.... Bila hiana, kila picha au video tunayoipata ni lazima tuianika maana mtandao huu ni wa kuburudika, kupashana na...
View ArticleMwanaume atembezwa uchi mtaani baada ya kufumaniwa na mke wa mtu jijini Dar
WANASEMA za mwizi arobaini, ikiongezeka moja mshukuru Mungu! Novemba 16, mwaka huu ilikuwa siku ya aibu kwa bosi Hussein Shaban (35) kufuatia kudaiwa kufumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama...
View ArticleCHADEMA wadai kuwa Zitto Kabwe ni Muongo na Mzushi....Kamati kuu yajipanga...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Dk. Kitila Mkumbo, ni waongo na wazushi....
View Article