Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Dk Kitilia Mkumbo amekiri
kwamba alishirikiana na Samson Mwigamba katika kuandaa waraka wa
mabadiliko katika Chama hicho, lakini siri hiyo ivuja baada ya Mwigamba
kukamatwa na kunyang'anywa Laptop ambayo ilikuwa na wakara mzima.
Dk Kitilia amefafanua kwamba sababu ya yeye kuandaa waraka huo
ilikuwa ni kuleta mabadiliko ndani ya Chama hicho. Kwa
↧