SIKU moja baada ya binti anayedaiwa kubakwa na kutishiwa kuuawa na
Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), kufungua jalada
polisi dhidi yake, inadaiwa mbunge huyo ametoweka nchini...
Vyanzo mbalimbali vilivyo karibu na mbunge huyo, vinadai kuwa
amesafiri juzi kwenda nchini Sweden kwa masuala ya kikazi, na kwamba
atakuwepo huko kwa muda usiopungua mwezi mmoja.
↧