Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ambaye ni star mkubwa wa filamu nchini Tanzania
anadaiwa kukataa kumvulia nguo Diamond Platinumz anayehaha kutaka kulifaidi penzi
lake kiasi cha kufikia hatua ya kumnunulia gari aina ya Nissan
Murrano yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60 za kitanzania ..
Ili kumaanisha kuwa hataki
kutoka kimapenzi na Diamond , Lulu
↧