Maombi
ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya kupandisha bei ya umeme,
yamepokewa kwa hisia tofauti za kuungwa mkono na pia kupingwa.
Waungaji
mkono maombi hayo ni pamoja na Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Kessy
aliyesema kulingana na changamoto zinazolikabili shirika hilo, bei ya
umeme iongezwe ila kwa kuzingatia kutoa huduma zinazolingana na gharama
wanazotoza.
Hata hivyo
↧