Mwanafunzi
aliyehitimu kidato cha nne mwaka huu, Sharifa Abdallah (18) ameuawa kwa
kuchomwa kisu shingoni na mbavuni chumbani kwa mvulana aliyedai kuwa
mpenzi wake maeneo ya Kimara Golani, Dar es Salaam.
Tukio hilo
lilitokea juzi saa 8:30 mchana na baadaye mvulana huyo aliyetambuliwa na
Polisi kwa jina la Abdul Alpha (22) kujisalimisha katika kituo cha
Polisi cha Stendi Kuu ya
↧