Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin
Mtei amesema kuwa chama hicho kitaendelea kuwafukuza wote wanaokihujumu
huku akieleza kwamba, anaunga mkono kuvuliwa uongozi kwa Zitto Kabwe na
Dk Kitila Mkumbo.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, nyumbani kwake jana, Mtei aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu (BOT)
na Waziri wa Fedha katika utawala wa awamu
↧