WANASEMA za mwizi arobaini, ikiongezeka moja mshukuru Mungu! Novemba
16, mwaka huu ilikuwa siku ya aibu kwa bosi Hussein Shaban (35) kufuatia
kudaiwa kufumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam.
Sakata hilo la aina yake lilitokea katika kitongoji cha Nyeishozi,
Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara na mke
↧