Mwanamziki wa Bendi ya FM Academia auawa China baada ya kukamatwa na madawa...
Mwanamziki aliyepata kutamba na Bendi ya FM Academia ya jijini Dar es Salaam, Rapa, Haristot Shungu ameuawa nchini China huku kifo chake kikitawaliwa na utata mkubwa. Kwa mujibu wa chanzo makini...
View ArticleZitto Kabwe agoma kuhudhuria kikao cha kamati kuu ya CHADEMA, wajumbwe wakwazika
WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha. Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni...
View ArticleBabu Seya na Papii Kocha washindwa kesi na kurejeshwa jela tena kwa kifungo...
Mwanamziki mkongwe nchini Nguza Viking aka Babu Seya na mwanaye Papii Kocha, wataendelea na kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufani nchini kuitupilia mbali rufaa yao iliyosikilizwa leo Babu...
View ArticleGari la Wema Sepetu lageuzwa Gesti house....Vijana wake walitumia kuwanasa...
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema Sepetu...
View ArticleP-Square watua jijini Dar es Salaam
Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao...
View ArticleWatanzania wanne wafikishwa mahakamani kwa kosa la kujiunga na kundi la Al...
WATU wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab. Washitakiwa hao waliofikishwa mahakamani jana...
View ArticleKikao cha kamati kuu ya CHADEMA chamalizika kwa kumvua Zitto Kabwe nafasi...
Suala la hatma ya Naibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe ndilo lililotawala katika siku ya pili ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho na kusababisha mvutano mkali...
View ArticleChristine Newa asimulia kilichomfanya Gabriel Munis awapige risasi....Asema...
Imebainika kwamba sababu ya shambulizi la risasi lililotokea Ilala Bungoni, Dar es Salaam Jumanne iliyopita na kusababisha vifo vya watu watatu, ni wivu wa mapenzi uliopindukia. Akizungumza nyumbani...
View ArticleWatu 10 wafikishwa mahakamani leo kwa kosa la kumuua Dr. Senngondo Mvungi.....
Watu kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi. Kesi imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo...
View ArticleSakata la CHADEMA KUJITEKA, kummwagia tindikali Saed Kubenea na chanzo cha...
Ndugu Wananchi, Taifa letu la Tanzania linapitia katika wakati wa upevukaji wa uhuru wa kusema kwa uwazi, pia Taifa letu linapitia katika harakati za demokrasia na maozezi ya deomkrasia. Katika kipindi...
View ArticleVideo ya mke wa mchungaji akisaliti ndoa yake na director wake yanaswa
Mama mchungaji wa kanisa moja hapa nchini amejikuta ndani ya aibu nzito baada ya video yake inayomuonesha akisaliti ndoa yake kuvuja na kusambaa mitandaoni.... Katika video...
View ArticleTaarifa rasimi ya CHADEMA kuhusu kuwavua uongozi Zitto Kabwe, Dr. Kitila...
Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema imewavua Uongozi Viongozi wake watatu baada ya Kugundua waraka wa Siri uliowahusisha na mpango wa kukipasua Chama vipande vipande. Viongozi...
View ArticleHuu ndo waraka wa siri uliotumiwa na CHADEMA kuwavua nafasi za uongozi Zitto...
MKAKATI WA MABADILIKO 2013 UTANGULIZI: Taasisi tunayoizungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi January 1993 na tokea wakati huo imeongozwa na wakuu wa taasisi wapatao wawili na aliyepo kwa sasa ni wa tatu....
View ArticleBaada ya CHADEMA kumvua uongozi Zitto Kabwe, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA...
Habari zilizotufikia muda mfupi ulipita zinaarifu kwa Said Arfi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amejiuzulu rasmi nafasi yake jioni hii. Arfi ambaye pia ni mbunge wa Mpanda mjini...
View ArticleHii ni kauli ya Mwigulu Nchemba baada ya CHADEMA kumvua uongozi Zitto...
Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba "NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala...
View ArticleKijana aukata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake huko Tabora.
Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili kuepukana...
View Article"Utundu kitandani ndo silaha yangu ya kuwateka wanaume...Nayajua mapishi na...
Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni utundu wake...
View ArticleRais Mugabe awapiga marufuku wageni na wahamiaji kujihusisha na biashara...
Wamiliki wa makampuni ya nje yanayoendesha shughuli katika baadhi ya sekta nchini Zimbabwe kuanzia Januari mosi mwaka 2014 hawataruhusiwa na iwapo watakiuka agizo hilo watakamatwa .Mmoja wa maafisa...
View ArticleProfesa Juma Kapuya aburuzwa polisi kwa tuhuma za ubakaji.....
HATIMAYE binti anayedaiwa kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), amefungua jalada Polisi dhidi ya mbunge huyo. Habari za kipolisi ambazo Tanzania Dama limezipata, zinasema...
View ArticleZitto Kabwe na Dr. Mkumbo watakutana na waandishi wa habari kesho ili kutoa...
Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013. Watatumia nafasi hii kutoa maoni...
View Article