MKAKATI WA MABADILIKO 2013
UTANGULIZI:
Taasisi tunayoizungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi January 1993 na tokea
wakati huo imeongozwa na wakuu wa taasisi wapatao wawili na aliyepo kwa
sasa ni wa tatu.
Wa kwanza aliongoza kwa miaka mitano tangu wakati huo
1993 hadi 1998 na kumwachia aliyefuata ambaye naye aliongoza kwa miaka
mitano hadi mwanzoni mwa 2004 na kumwachia aliyepo sasa
↧